Ajira Portal

Ajira Portal ni programu rasmi ya Serikali kwa maombi na taarifa za Ajira.

Developer: Sekretarieti ya Ajira (PO-PSRS)

Category: Business (app)

About

Ajira Portal ni programu inayowezesha Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizo wazi kwenye Utumishi wa Umma. Watumiaji wa programu hii wataweza pia kupata taarifa muhimu kuhusu nafasi za kazi pamoja na mchakato mzima wa Ajira.

Details

More in Business

ilovalar.com for Android