App salama na rahisi kwa mawakala waliosajiliwa na NBC Bank kuhudumia wateja
Developer: NBC Tanzania
Category: Business (app)
NBC Wakala Kiganjani – App Rasmi ya NBC Agency Banking Hudumia wateja wako popote, muda wowote kwa kutumia NBC Wakala Kiganjani – app salama na rahisi kwa mawakala waliosajiliwa na NBC Bank Tanzania. Huduma Muhimu: - Huduma za Fedha: Weka, toa na angalia salio papo hapo - Huduma za Akaunti: Fungua akaunti mpya na boresha taarifa za mteja - Malipo ya Ankara: Lipa LUKU, GePG na huduma nyingine kwa urahisi - Uunganishaji wa Kadi: Unganisha kadi mpya za wateja kwa kutumia NFC kwa uharaka zaidi - Ripoti & Historia: Pata historia ya miamala na tengeneza ripoti papo hapo Usalama wa Kuingia: Kuingia kwa usalama na taarifa za wakati halisi Kwa nini NBC Wakala Kiganjani App? - Haraka, rahisi na salama - Imetengenezwa mahsusi kwa mawakala wa NBC kuhudumia jamii kwa ubora zaidi - Huduma zote kuu za wakala wa NBC zikiwa sehemu moja Kwa matumizi ya mawakala waliosajiliwa na NBC Bank pekee. Matumizi yasiyoidhinishwa ni marufuku.
ilovalar.com
for Android