Kua Kiroho SDA. Lesoni — 2026

Pata Huduma ya Lesoni na mengine mengí kwa ajili ya ustawi wa Kiroho.

Developer: Joseph Mazala

Category: Books & Reference (app)

About

Kua Kiroho ni programu tumishi yenye mpango endelevu wa kuwa kituo chenye hamasa katika kuleta ustawi wa kiroho. Kwa waadventista wasabato pata huduma ya Lesoni kwa mwaka mzima, Robo ya kwanza, robo ya pili, robo ya tatu na hatimaye robo ya nne. Programu ina vipengele vifuatavyo. —Lesoni —Nyimbo za Kikristo —Biblia takatifu —Usomaji wa Biblia. —Nukuu ya Leo —Masomo —Tulia kwa Yesu —Ahadi za Mungu.

Details

More in Books & Reference

ilovalar.com for Android