Watoto wanastahili kuimba kwa furaha wakimtukuza Mungu. Tunawabariki.
Developer: Horizon Hope Pro
Category: Books & Reference (app)
Watoto waimbe Watoto wajifunze Watoto wajitambue App hii inamleta mtoto katika ufahamu binafsi juu ya Mungu na Jamii kiujumla. Atajifunza kupitia nyimbo, maswali, filamu na katuni mbalimbali. Tunategemea kuwa App hii italeta maendeleo bora kwa kila mtoto. Karibu sana.
ilovalar.com
for Android